BurudaniDiamond PlatnumzWema Sepetu

Tumewauliza wasomaji jina la kuwapa Diamond na Wema kwa pamoja, haya ndio majina yaliyopendekezwa

Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio power couple namba moja ya Tanzania kwa sasa. Kama walivyo Kanye West na Kim Kardashian aka Kimye au Brad Pitt na Angelina Jolie aka Blangelina, au Feza Kessy na O’neal aka Onize tumewauliza wasomaji wetu jina la pamoja la kuwapa wawili hawa. Haya ndio majina yaliyopendekezwa.

10011225_366509606821385_1748641378_n

Weimond
Diamwema
Daima
Wendi
Wemonds
Wesib
Domowe
Wema Domo
Wedimond
Naswema
Platwema
Weda
Diapetu
Drawema
WePlatnumz
WemaDia

Unahisi ni lipi linawafaa?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents