Burudani

Trey Songz kutumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, ataungana na Miguel na French Montana

MTV Base imetangaza kuwa muimbaji wa RnB, Trey Songz atatumbuiza kwenye tuzo za MTV Africa Music (Awards) 2014.

Trey-Songz-chapter-v-5-640x360

Host wa show hiyo atakuwa mchekeshaji na muigizaji wa filamu Marlon Wayans. Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa ICC, Durban June 7 ambapo pamoja na Trey wasanii wengine kama Miguel, rapper French Montana, Davido, Flavour, Tiwa Savage, and Mafikizolo, Uhuru, Oskido na Professor watatumbuiza.

Diamond ametajwa kuwania tuzo mbili mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents