Burudani

Trey Songz adai Nicki Minaj alimkosea heshima

Trey Songz amefunguka baada ya kutupiana maneno mitandaoni mwezi uliopita na Nicki Minaj baada ya rapper Remy Ma kumchana kwenye shETHER.

Moja ya ujumbe ambao umeonekana kumkasirisha zaidi Trey ni pale Nicki alipoandika kwenye mtandao wa Twitter, “Real ni**az do real things. I done gotchu 6 million plaques.”

Akiongea kwenye kipindi cha The Breakfast Club cha Power 105’s, muimbaji huyo amesema Nicki amemkosea sana heshima kwa kuwa wakati anamshirikisha kwenye ‘Bottoms Up’ miaka saba iliyopita rapper huyo hakuwa mkali lakini baada ya wimbo huo kutoka ndio akawa mkubwa zaidi.

“What I want people to know is that Nicki said she gave me six plaques, but let’s keep it real. Nicki ain’t have shit before ‘Bottoms Up.’ Nicki had a single with Sean Garrett…Some kind of ‘Attack’ [the song was called ‘Massive Attack’]. After that, she did ‘Monster’ and then you can say that,” amesema Trey Songz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents