Burudani

Trace TV yawapa shavu wasanii wa Afrika Mashariki

Hatimaye wasanii wa Afrika Mashariki wamepata shavu kwenye kituo cha runinga cha Trace baada ya kituo hiko kuanzisha channel mpya ya Trace Mziki ambayo kwa asilimia kubwa itakuwa ikiwahusisha wasanii hao.

Mugabe

Channel hiyo mpya inatarajiwa kuanza kuruka rasmi kuanzia Septemba 1, mwaka huu. Itapatika kwenye DSTV, channel 323.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents