Burudani

Totoo Ze Bingwa azindua albamu

By  | 

uzinduzi_totoo_na_pedeshee

MWANAMUZIKI toka katika bendi ya Akudo Impact Totoo Ze Bingwa, amefanya utambulisho wa albamu yake mpya aambayo anatarajia kuingia sokoni  julai 24 mwaka huu, baada ya jana katika uzinduzi huo kava la albamu hiyo kutokuwa tayari na kufanya isiuzwe papo kwa hapo.

 

Aidha alidai pia kama kuna mtu anahitaji kuuziwa albamu hiyo bila ya kava, basi angeuziwa.

Katika uzinduzi huo pia ulifanyika uzinduzi wa mwanamuziki mwingine toka Kenya Sharama, katika albamu yake ya Vunja Winga. ambayo yenyewe ilisambazwa na kuuzwa papo hapo kutokana na kukamilika kwa kila kitu.

uzinduzi_sarakasi

Zaidi ya burudani, kulikuwa na sarakasi za hapa na pale

Uzinduzi_fid_q

Fid Q naye alikuwa pamoja nao, kwa kuonyesha wapo pamoja.

uzinduzi_abasi_na_kundi
Hili ni bonge la Koraborasheni la Zola D, Abas na Shara aliyevaa kofia.
uzinduzi_benjamini
Benjamini wa Mambojambo naye alikuwepo hapo katika kuhakikisha burudani ikifikia  kwenye kiwango chake.
uzinduzi_Christian_bella
Christian Bella naye alikuwa sambamba na Akudo kwaajili ya kumsindikiza mwanamuziki mwenzao.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments