Burudani

TMZ waripoti ujio wa T.I. kwenye Fiesta, wathibitishiwa na uongozi wake kuwa Ebola haijafika Tanzania

Mtandao mkubwa wa Marekani TMZ umeripoti kuhusu ujio wa rapper T.I. kutoka Marekani, anayetarajia kuwarusha mashabiki wa Tanzania usiku wa leo (October 18) katika tamasha kubwa la Serengeti Fiesta litakalofanyika kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.

ttt

TMZ imeandika kuwa, vyanzo vimeuambia mtandao huo kwamba T.I. amekuja Tanzania kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, na uongozi wake umewathibitishia kuwa hakuna hatari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola kwa sababu Tanzania bado haijakutana na kesi yoyote ya ugonjwa huo.

“T.I. landed in Tanzania on Friday to headline the Serengeti Fiesta this weekend — and his management team insists there is no risk of an outbreak, since the country has yet to have had a single Ebola case.

It’s true … Tanzania’s on the far east coast of Africa, while the hardest hit countries are in West Africa. It’s kinda like canceling a trip to Maine because Ebola’s in Dallas.”

T.I TMZ2
T.I TMZ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents