Bongo Movie

Tmk Wanaume kuja kitofauti sana

tmk_fela
Kundi la muziki wa kizazi kipya la Tmk Wanaume, baada ya miaka mitatu linatarajia kuja na mikakati mipya hivi karibu, ya kutoa wimbo mpya, video pamoja na filamu. akiongea kiongozi wa kundi hilo Said Fella amesema, kwamba kwazaidi ya miaka mitatu iiyopita tangu kundi hilo kutoa wimbo  wa mwisho, jambo ambalo limewafanya waje tofauti sana.

 

Amesema katika filamu hiyo steringi atakuwepo ni Chege, Temba na wingine wengi ambao watakuwepo kwenye filamu hiyo. amesema zaidi na zaidi atakuwepo Dogo Aslay, ambae atafanya vizuri.

Fella amesema wimbo huo na video hiyo ni kwaajili ya miaka 50 ya uhuru kwakuwa, hawakujiandaa kwaajili ya wimbo wa miaka hamsini kwaajili ya uhuru.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents