Michezo

TKO ya mwaka: Jinsi Francis Miyeyusho alivyodundwa na kuanguka mara 3 kwenye raundi ya kwanza

Wiki iliyopita mashabiki wa mchezo wa ndondi nchini walipatwa na fedheha kubwa baada ya bondia wa Francis Miyeyusho kupewa kichapo kikali na bondia wa Thailand kilichomfanya aaunguke mara tatu kwenye raundi ya kwanza tu kiasi cha kumfanya refari asitishe pambano hilo na kumpa mshindi Mthailand. Tazama video hii inayoonesha mapambono mawili ya mabondia wa Tanzania, Francis Cheka na Francis Miyeyusho waliopigana na mabondia wa nje.

https://www.youtube.com/watch?v=psa-JvsFixU&sns=fb

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents