Bongo Movie

Tito apata mtoto

tito_movies
MKALI wa movi za Action na ubabe mwingi Tito Charlos hakika Mungu amembariki na kufikia miongoni mwa malengo yake kwa kupata mtoto mmoja wa kike. Mwigizaji huyo ambaye amekuwa mvumilivu mkubwa katika maisha yake ya  uchumba na hatmaye kufunga ndozi hapa juzi hivi sasa mkewe amejifungua saklama mtoto wa kike.

 

Mwigizaji huyo anasema anamshukuru sana mungu kutokana na uvumilivu aliompa mpaka kuingia kwenye ndoa na hatmaye kupata mtoto.

Mwanamuziki huyo anawashauri wasanii wenzake kuwa wawe wavumilivu katika masuala yao ya mapenzi kwani usanii unakuwa na mambo mengi. Yeye na mkewe wanatengeneza filamu ya DNA, ambayo imeanza muda ila imeshindwa kumalizika kwa muda muafaka kutokana na kubanwa kwa shughuli nyingi.

 

Hongera Tito…………….

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents