Burudani

Tip Top Connection waja na brand yao ya pamba

Tip Top Connection wamekuja na brand yao ya pamba. Kwa kuanzia wameingiza sokoni kofia za rangi mbalimbali zenye jina hilo hilo.

3

Meneja wa Tip Top, Babutale ameiambia Bongo5 kuwa hivi karibuni wataingiza sokoni t-shirt, masweta na bidhaa zingine kutoka kwenye brand hiyo.

2

index

Tip Top wanaungana na brand zingine zinazochipukia zikiwemo WCB ya Diamond, African Boy ya Jux, PKP ya Ommy Dimpoz na zingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents