Burudani

Tiny atuma ujumbe mpya kwa mumewe rapper T.I

Baada ya Tiny kudai talaka kutoka kwa T.I, muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Xscape ametuma ujumbe mpya na wa kushtua kwa mumewe huyo.

Tiny ameonekana kwenye kipande cha video kilichopo kwenye mtandao wa TMZ, akiongea maneno ambayo yanaonyesha kuwa bado anamhitaji mumewe T.I wakati alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja mtandaoni. “He need to come back to me, baby. He need to come on back to me. I’m where I’m ‘posed to be at,” amesema Tiny kwenye video hiyo.

Wawili hao wamedumu kwenye ndoa kwa takribani miaka sita na wamefanikiwa kupata watoto watatu akiwemo King na Major (watoto wa kiume), na Heiress Harris (wakike).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents