Habari

The Switch ya Times FM 100.5 kuja kivingine kuanzia November, 2013

Kuanzia mwezi November, 2013, ile show kubwa na kali ya weekend ‘The Switch’ inayoruka kila Jumamosi kuanzia saa sita mchana kupitia 100.5 Times FM, itakuja kwa style mpya.

switch logo

“Tegemea masaa manne yenye burudani ya kutosha, story za mastaa wa mbele na Afrika kwa ujumla, shoutouts na ratiba zenye uhakika za kula bata. Captain of the Cool Kids ”Cnda King” presenter wa show hiyo kubwa atakujuza zaidi kupitia mitandao yake ya kijamii na hapa pia. Fuatilia yatakayojiri kupitia @cndaking kwenye Twitter na Instagram,” amesema Cnda kwenye maelezo yake.

IMG_8781
Cnda

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents