Habari

The Session: Interview na producer wa ‘Number 1’ Sheddy Clever (Video)

The Session wiki hii imezungumza na producer wa hit ya Diamond Platnumz, Number 1, Sheddy Clever. Kwenye interview hii Sheddy anaongea safari yake ilivyokuwa ngumu mpaka hapo alipofika na jinsi ambavyo alijikuta akitaka kukata tamaa baada ya kutengeneza nyimbo 5 za Rich Mavoko ambazo zote hakuziachia redioni. Akiwa na umri mdogo, tayari Sheddy ameshakuwa nominated kuwania tuzo za KTMA kama producer bora anayechipukia.

http://www.youtube.com/watch?v=pswdNUdOfC4

Anazungumzia pia jinsi ilivyomchukua muda kufanya ngoma na Diamond Platnumz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents