Burudani

The Hobbit: The Battle of the Five Armies yaingiza $355m duniani, wiki moja tangu iingie sokoni

Filamu ya The Hobbit: The Battle of the Five Armies imeingiza dola milioni 355 duniani kote tangu ingiie sokoni wiki iliyopita.

THE HOBBIT: THE BATTLE OF THE FIVE ARMIES

Hadi sasa filamu hiyo iliyoongozwa na Peter Jackson, imeoneshwa kwenye majumba ya sinema 19,315 katika nchi 59.

Kwa Marekani peke yake, filamu hiyo imeingiza $90.6 ndani ya siku tano kwenye majumba ya sinema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents