Burudani
The Game awadiss G-Unit ‘they can s*ck my d**’
Rapper wa West Coast, The Game amelidiss kundi la G-Unit lililoungana tena hivi karibuni na linaloongozwa na 50 Cent.
The Game anadaiwa kuwatukana aliokuwa members wenzake kwenye kundi hilo wakati akitumbuiza kwenye show yake.
Kwa mujibu wa ripoti, Game alikuwa akitumbuiza ngoma yake ya zamani, ‘How we Do’ aliomshirikisha 50 Cent kwa kusema ” F*uck G-Unit. They can suck my d*ck.”