Burudani

#TecnoOwntheStage: Tazama Episode 9 hapa

Vita vikali vimezuka jana kati ya Nigeria na Kenya kwenye kipindi cha kusaka vipaji vya uimbaji kupitia karaoke, Tecno Own The Stage.

Pascal wa Kenya na Shapeera wa Nigeria wamechuana uso kwa uso kutumbuiza nyimbo mbalimbali. Wakati show ikiendelea, Nigeria na Kenya zilikuwa zikirushiana vijembe kwenye Twitter huku kila moja ikijigamba kushinda. Hizi ni baadhi ya Tweets:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents