Promotion

Tecno Boom J7 ni simu kiboko kwa kuchukua picha kali zenye quality

Kama wewe ni mpenzi wa mitandao ya kijamii hususan Facebook na Instagram, bila shaka utapenda kupost picha zako zikiwa na ubora na zinazovutia.

11295605_914570241919610_8912319591675693218_n

Bahati mbaya sio simu zote zenye uwezo wa kukupa picha kali. Tecno Boom J7 ni kiboko yao. Ni simu kali yenye kukupa picha za kuvutia lakini inayouzwa kwa bei nafuu kabisa. Kwa shilingi 250,000 unajipatia simu yako.

Pata likes nyingi kwa picha za Boom J7.

Unaweza pia kujishindia Boom J7 mpya kwa kufollow ukurasa wa Instagram wa Tecno Mobile Tanzania. Ni rahisi sana. Bofya hapa na uende kufollow ukurasa wa Instagram wa Tecno Mobile Tanzania unaweza kuwa mmoja wa watu watakaoshinda.

Kwa taarifa zaidi like ukurasa wa Facebook wa Tecno Mobile Tanzania hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents