Irene Paul na Amby Lusekelo ni miongoni mwa waigizaji walioshiriki kwenye usaili wa filamu mpya ya XBaller. Watazame kwenye episode 3 ya usaili hiyo uone walichokifanya.
https://www.youtube.com/watch?v=3L3mleiLS-k
Muigizaji Ernest Napoleon aliyetamba kwenye filamu ya Going Bongo, amesema usaili mwingine wa XBaller, filamu atakayoshiriki pia utafanyika Dodoma, Mbeya na Arusha June na July.