Burudani
Tazama video mpya ya mshiriki wa TPF, Ameleena wa Kenya ‘Mawazo’
Mshiriki aliyepita wa wa shindano la Tusker Project Fame Ameleena kutoka Kenya ametoa video ya wimbo wake npya ‘Mawazo’, wimbo wa mapenzi ambao unaendana na msimu wa sikukuu ya wapendanao .