Burudani
Tazama picha mpya za Beyonce akiwa mjamzito
Jay Z na Beyonce ni moja ya couple zinazowavutia wengi duniani. Wawili hao wanatarajia kuongeza familia yao baada ya Queen Bey Jumatano hii kutangaza kupitia mtandao wa Instagram kuwa ni mjamzito wa watoto mapacha.
Mrembo huyo ameamua kusambaza picha zake mpya kwa mashabiki wake akiwa na ujauzito wake huo. Tazama hapa chini hizo.