Diamond Platnumz

Tazama picha ambazo hujaziona kutoka kwenye show ya Diamond, Rwanda

Diamond Platnumz amefanikiwa kupiga show ya kufa mtu jijini Kigali katika siku ya mwaka mpya, January 1. Diamond alitumbuiza na live band na alipewa support na muimbaji wa Yamoto Band, Aslay.

img_5307-81a3c

Kwenye show hiyo, Diamond alisindikizwa na wasanii wakubwa wa huko wakiwemo King James, Urban Boyz, Jay Polly na Knowles. Hizi ni picha za show hiyo iliyohudhuriwa na watu kibao.

dsc_1102-c2f7d
Msanii wa Rwanda, Knowles

dsc_1116-f8197

img_5279-1cc4e

dsc_1014-3-f78a9

dsc_1100-48d4c

dsc_1220-d11e1

dsc_1263-2-b981c

dsc_1278-37b4a

dsc_1297-a7fec

dsc_1317-c8a9e

dsc_1319-da905

dsc_1320-cff98

dsc_1342-4b04c

dsc_1361-2e16d

img_5127-a93b7

img_5186-3-b6c49

img_5226-3a0d3

img_5230-90c79

img_5262-c3c62

Chanzo: http://www.igihe.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents