Habari

Sikiliza kipindi cha BBC Haba na Haba kuhusu matumizi ya namba maalumu ya bure 116

Kipindi cha Haba na Haba na cha BBC wiki hii kinaangalia matumizi ya namba maalumu ya bure 116 kwa ajili ya
kuripoti ukatili wa watoto umefanikiwa kwa kiwango gani nchini Tanzania. Changia mawazo yako kupitia
www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia
www.twitter.com/BBC_HabanaHaba”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents