Burudani

Tazama kionjo cha video mpya ya Vanessa & Barnaba ‘Siri’ iliyoongozwa na Hanscana

Muimbaji Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ameshare kionjo cha video mpya ya wimbo wake na Barnaba ‘Siri’ uliotoka mwaka jana. Video hiyo imeongozwa na director Hanscana, ambaye ni miongoni mwa madirector wapya wanaotabiriwa kuja kusumbua sana. Video inatarajiwa kutoka hivi karibuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents