BurudaniVideos

Tazama burudani zilivyofana kwenye Zari All White Party (Video)

Zari All White Party ilivutia umati mkubwa wa watu Ijumaa hii. Party hiyo ya kishua iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiongozwa na Diamond na mchumba wake Zari, rapper wa Afrika Kusini, AKA, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi na wengine. Tazama video za hapo chini za burudani na mambo yalivyokuwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents