Burudani

Tanzanite wa H.Baba aingia kwenye mashindano ya urembo Rwanda

Mtoto wa kike wa H.Baba, Tanzanite, amedaiwa kutajwa kushiriki katika mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa nchini Rwanda.

12046985_1475087236130315_158951041700024046_n

H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa hivi karibuni Tanzanite atasafiri kuelekea nchini Rwanda kwaajili ya mashindano hayo.

“Kenya tayari wameshamuona, mwezi wa 12 anaenda Rwanda kwenye mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa ambayo yanafanyika nchini Rwanda,” amesema H.Baba. “Tanzania kachaguliwa Tanzanite peke yake. Kwahiyo sisi wazazi tumefarijika kupata mtoto ambaye ana bahati na ana nyota ya kupendwa.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents