[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=4Gq3HDnt51I[/youtube]
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=J6Itx0jejTw[/youtube]
“ina langu ni Johnson Lujwangana naishi Mount Vernon, New York nafanya show inayonesha maisha ya familia inayotoka Africa hapa marekani.”
Hii ni sehemu ya kazi ambao nimeishaifanya, naomba kuwajulisha watanzania wenzangu popote pale walipo.
Ninaomba pia mawazo yenu au mawazo yako katika kazi yangu.”
Haya Wadau wa B5, tuyasikie mawazo yenu!