Burudani

Tanzania mpya yamtoa chozi Darassa

Rapper Darassa ameonekana kuumizwa kwa kile kinachoendelea hapa nchini kwa sasa.

Hitmaker huyo wa Muziki, ameandika ujumbe ambao umeonekana kuwaumiza na kuwatoa machozi wengi katika mtandao wa Instagram. Kupitia mtandao huo Darassa ameandika:

BABA MUNGU SHUKA WEWE UENDESHE NCHI YETU! BORA TUPOTEE SISI NI SAWA!!!! vip kuhusu watoto wadogo na wanawake!!!! Future ya nchi inaogopesha na huitaji macho kuona hili ???? sina chama wala upande m1 kwenye shilling!!! maana sijui hata nani anatupenda kweli sisi wananchi na atakua tayari kututhamini! ????????????

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents