Burudani

Tamasha la Mtikisiko kulindima Mbeya November 1

Tamasha la kila mwisho wa mwaka kwa wakazi Nyanda za juu Kusini Mtikisiko linatarajia kufanyika jijini Mbeya November 1.

IMG-20141028-WA0001
Waratibu wa tamasha hilo, Bonnie Sly na DJ Nas

Likiwa na kauli mbiu ya ‘Mule Mule’ tamasha hilo linaloandaliwa na kituo cha redio cha Ebony FM cha Iringa limeshafanyika Njombe. Mbeya litafanyika katika uwanja wa City Pub ambapo wasanii mbalimbali wakiwemo Izzo B, Barnaba, Khadija Kopa, Stamina, In Africa Band na wengine.

Tamasha hilo litafanyika mjini Iringa, November 15.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents