Habari

Taliban wathibitisha kifo cha kiongozi wake Mullah Akhtar Mansoor, wamteua huyu kurithi nafasi yake

Kundi la kigaidi la Taliban la nchini Afghanistan, limethibitisha kifo cha kiongozi wake mkuu, Mullah Akhtar Mansoor aliyeuwa na ndege za Marekani wiki iliyopita.

2118
Picha iliyotolewa na Taliban kumuonesha kiongozi wake mpya Mullah Haibatullah Akhundzada

Pia limemteua mrithi wake.

Mullah Haibatullah Akhundzada, msomi maarufu wa dini na aliyekuwa msanii wa kiongozi huyo ataliongoza kundi hilo. Kundi hilo lilipata pigo zaidi baada ya muasisi wake Mullah Omar kupoteza maisha mwaka jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents