Habari

Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yaanda matembezi ya hisani Oct 12

Taasisi ya saratani Ocean Road na Kunduchi Beach Resort wameandaa matembezi ya hisani kwaajili ya saratani ya matiti Jumapili 12/10/14 saa 1.30 hadi saa 5 asubuhi.

10365749_852331728133596_5027356954963529839_n

Matembezi yataanzia na kumalizikia Kunduchi Beach Resort. Mgeni rasmi ni mke wa rais, Mama Malma Kikwete. Kushiriki ni bure. tujitokeze kwa wingi kuunga mkono mapambano dhidi ya saratani ya matiti. Tshirts zinapatikana kwa shilingi 15,000 Mlimani City, Shoppers Plaza na Raha Towers.

Pia unaweza kuchangia kwa Tigopesa 0659 534299, -M-Pesa 175555, na Airtel 0686 679325. Kutakuwa na uchunguzi wa bure wa saratani ya matiti.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents