Burudani

T.I. adai hawezi kulazimisha Iggy Azalea na Snoop Dogg wapendane

T.I.amesema hayupo kwenye nafasi ya kuwafanya Iggy Azalea na Snoop Dogg wapendane.

1413406264_iggy-ti-snoop-zoom

Rapper huyo aliyetumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, October 18 jijini Dar es Salaam alimshawishi Snoop amuombe radhi Iggy baada ya kumkwaza kwa kupost picha ya albino wa kike kwenye Instagram na kudai kuwa ni Iggy pasipo make-up.

“Namheshimu Snoop vya kutosha, namheshimu Iggy vya kutosha, kwa wao kutengeneza maoni ya kuheshimiana kwa yeyote. Wote nawapenda. Na pengine kadri muda unavyokwenda watapata vitu ambavyo wanavipenda na sio kugundua vile wasivyovipenda,” T.I. aliliambia jarida la XXL.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents