Burudani
Sweet 18: Lulu aangusha party ya nguvu ya birthday yake (picha ndani)
Elizabeth ‘Lulu’ Michael is now a legally recognized adult, 18 years old, woooohooo, time to partyyyyyyyy!!
Which means, “No more questions…no more answers..no more lies…no more drama,” ameandika kwenye moja ya picha alizopost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Jana muigizaji huyo ametimiza umri wa miaka 18 na kualika watu wa karibu kufurahi naye pamoja kwenye sherehe hiyo iliyofanyika takriban miezi mitatu atoke mahabusu kwa dhamana kutokana na kesi ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzie aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba.
Miongoni mwa waalikwa kwenye party hiyo alikuwa ni hitmaker wa Singe Boy, Ali Kiba.
“Thank u ma pipo….!!!I won’t stop saying dic word….!!!Thank you soooo much,” aliandika kwenye picha nyingine.
Happy birthday Lulu.