Uncategorized

Suma Lee Arudi Kwa Producer Manecky tena


Suma Lee,Nyota wa muziki wa kizazi kipya ambaye long time kitambo alivuma katika kibao cha Aisha Aisha chini ya Park Lane,enzi akiwa na Cpwaa, kisha kuja kuibuka na Chungwa then zikaja nyingine kadha,and then kabla kuenda kumsaidia mwanadada Wema Sepetu katika kutunga filamu ya SUPER STAR, ambaye mwisho balaa likaja kwenye hit single, HAKUNAGA, kisha ikafuata UTANIKUMBUKA sasa, anakuja na yule yule Maneke, aliyetengeneza Hakunaga, kutoka AM Record. Suma amesema kuwa amemua kufanya tena kazi na Maneke kwa kuwa ni Mkali. Alipoulizwa why ngoma ya UTANIKUMBUKA aliyoifanya Bongo Records haikufanya vizuri alisema ana amini kuwa ma Producer wote ni wakali kwake sema mashabiki wake hawakuipokea vizuri nyimbo hiyo kwa kuwa ilikuwa kwenye Maadhi na ndio maana ameamua kuwarudisha kwenye flava za HAKUNAGA.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents