BurudaniMichezo

Striker wa Simba atua klabu ya Oman kwa mkopo

Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC Fredrick Blagnon ambaye ni raia wa Ivory Coast hajaonekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeruha ya muda mrefu.

Klabu ya Simba kupitia mtandao wao wa instagram umetoa taarifa kuwa mchezaji huyo wamempeleka kwa mkopo wa (miezi 6) nchini Oman Club ya nchini Muscut.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents