Michezo

Steven Adams kuiweka nafasi ya Hasheem Thabeet Oklahoma City Thunder matatani?

Steve Adams, ni mchezaji mpya kutoka New Zealand aliyechukuliwa kwenye ligi ya NBA mwaka jana na timu ya Oklahoma City Thunder anayoichezea Mtanzania, Hasheem Thabeet.

Oklahoma City Thunder v Phoenix Suns
Steve Adams

Alisainishwa na timu hiyo July 12, 2013, November 8, 2013, alifanikiwa kufunga point 17, rebounds 10, assists 2 na kuzuia blocks 3. Tangu ajiunge na Oklahoma City, amekuwa na wastani wa point 3.8 na rebounds 4.6.

Thunder Suns Basketball
Hasheem Thabeet

Kutokana na uwezo wake katika nafasi ya kati amegeuka kuwa backup muhimu na kumshinda Hasheem Thabeet kwenye nafasi hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents