Burudani

Steve Nyerere ajiuzulu kama mwenyekiti wa Bongo Movie Unit

Aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Nyerere amejiuzulu wadhifa huo. Steve ametangaza uamuzi huo kupitia Instagram na pia kuithibitishia Bongo5.

mr_president

“Unajua nimeona bora nijiuzulu ili tusije kuvunjiana heshima hayo ndo maamuzi niliyoamua nitabaki kuwa mwanachama wa kawiada tu kama wengine,” Steve ameiambia Bongo5.

Awali kupitia Instagram aliandika:

Napenda kuwashkuru ndugu zangu wote wasaniii wenzangu kaka zangu mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu nimeamua kujiuzuru uongozi wa bongo move nabaki kuwa mwanachama wa kawaida naimani tulifurahi pamoja tukauzunika pamoja na daima tutakuwa pamoja

Uamuzi wa Steve Nyerere umepokelewa kwa hisia tofauti na wapenzi wa filamu nchini na wengi wamemtaka kutofanya hivyo huku wakitaja‘majungu’ na kusemwa kama chanzo cha yote.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents