Burudani

Song: Tanzania Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu wameshirikishwa kwenye wimbo uitwao ‘Haki’ uliofanywa na wasanii 13 wa Hip Hip. Katika wimbo huu, January Makamba amefanya intro na Sugu kufunga na outro.

HAKI-Cover-2

Wasanii walioshiriki kwenye Haki ni pamoja na Quick Rocker, Mchizi Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili. Wengine ni Fid Q, Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Mwana FA, Danny Msimamo na Kalapina.

Wimbo huu umetayarishwa na P-Funk Majani kwenye studio za Bongo Records. Una lengo la kulihamasisha bunge la katiba mpya kuingiza suala la sanaa na haki za kazi za kiubunifu (Intellectual Property) kwenye katiba hiyo.

Usikilize hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents