Song: Mona Gangstar & Bongo All Stars – Rest in Peace Sharo
Hii ngoma imefanywa na producer Mona Gangstar na walioshirikishwa ni Dogo Janja, PNC, Stamina, Country Boy, Ney wa Mitego, Soprano, Suma Mnazaleti, Elly Nizo, Bright, Makomando wazee wa kibega na wegine. Sikiliza ngomga hiyo hapa…