Habari

Song: Jennifer Lopez awashirikisha Big Sean, Tyga na Montana katika ‘I Luh Ya’ Dj Khaled Remix

Jennifer Lopez aka J Lo ametoa remix ya single yake ‘I Luh Ya’ ambayo original version alimshirikisha French Montana.

Lo

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/145853828″ params=”auto_play=false&hide_related=false&visual=true” width=”100%” height=”450″ iframe=”true” /]

Katika remix ambayo imefanywa na Dj Khaled, J Lo amewaongeza mastaa wengine ambao ni Big Sean na Tyga walioungana na Montana.
Album mpya ya J.Lo inatarajiwa kutoka baadae mwaka huu, lakini mpaka sasa bado haijafahamika itaitwaje.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents