Muziki

Song: Country Boy,Cannibal,P The MC,Tash,Viva, Leo Mysterio, B Gway – Tunaleta Kwere

Baada ya Life Goes On iliyoshirikisha wasanii kama Kala Jeremiah,G Nako,Da Hustler na wengine, hii ni ngoma nyingine kutoka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa project itakayoshirikisha wasanii wengi kuliko zote zilishowahi kutokea nchini. Kwa sasa amewashirikisha Coutry Boy,Cannibal,P The MC,Tash,Viva, Leo Mysterio na B Gway kwenye ‘Tunaleta Kwere’

image (1)

“Napenda kufanya hivi kwasababu inatoa nafasi kubwa kwa wasanii mbalimbali kutoa mawazo yao kwa jamii,pia inatengenezea wasanii wadogo nafasi flani nzuri katika industry,tunashukuru sana media zote kwa kutusupport,na jamii nzima kwa kutupokea,” amesema John B wa Grandmaster Recs Arusha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents