Burudani

Solange afunguka ukaribu wa Beyonce na Kelly Rowland kwenye jarida la Elle

By  | 

Solange amefunguka ukaribu uliopo kati ya dada yake Beyonce na rafiki yake wa karibu wa kundi la Destiny’s Child, Kelly Rowland.

Hitmaker huyo wa albamu ya A Seat at the Table, ametokea katika jarida la Elle la mwezi huu amesema Queen Bey na Kelly ni marafiki wa karibu zaidi hasa kutokana na kuwa na umri sawa.

“My sister and Kelly were the same age, which is like a built-in best friend in the house. They were extremely close…Writing felt like this insular thing that I could go back in my room and express all that I would observe, all the emotions that would arise. It felt like mine, my little thing,” amesema Solange kwenye jarida hilo.

Muimbaji huyo pia amefunguka kuhusu mtoto wake wa kiume Julez ambaye alijifungua akiwa na umri mdogo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments