Burudani

Soggy Doggy aondoka Ebony FM ya Iringa na kuhamia EFM

Mtangazaji wa redio na rapper mkongwe, Anselm Ngaiza aka Soggy Doggy amehamia kwenye kituo cha redio cha EFM cha Dar es Salaam akitokea Ebony ya Iringa.

IMG_4929

Soggy amefanya kazi kwa miaka kadhaa akiwa kama mkurugenzi wa vipindi wa Ebony FM hiyo inayosikilizwa zaidi kwenye mikoa ya nyanda za juu za kusini.

Rapper huyo ametweet:

Soggy amewahi kufanya kazi kwenye vituo vingine vya redio vikiwemo Triple A ya Arusha na Radio Free Africa ya Mwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents