Snura na Shilole kaeni chonjo, Aunt Ezekiel aja na wimbo ‘Movie Star’


Pin It

Shilole na Snura inabidi wakae chonjo sababu muigizaji mwenzao, Aunt Ezekiel amekuja rasmi kujaribu pia uwezo wake kwenye muziki. Msikilize kwenye wimbo huu na utoe maoni yako kama anaweza ama aendelee tu na filamu.

Pin It

Add a comment

comments