Burudani

Snoop Dogg: Nilivuta bangi kwenye ikulu ya Marekani (Video)

Snoop Dogg aliwahi kuvuta bangi akiwa kwenye ikulu ya Marekani, White House.

Rapper huyo mwenye miaka 42 ambaye jina lake halisi ni Calvin Cordozar Broadus Jr – amekiri kuwahi kuvuta majani kwenye bafu iliyopo katika makazi hayo rasmi ya Rais Barack Obama jijini Washington DC. Akiongea kwenye episode mpya ya kipindi chake cha GGN News, Snoop alimueleza Jimmy Kimmel: “[I’ve smoked] in the bathroom [of the White House] … in the bathroom.”

Rapper huyo mkongwe anasema aliwaomba walinzi kutumia choo na alipoulizwa ni kwaajili ya haja ndogo au kubwa alisema ni haja kubwa hivyo angehitaji kwenda na sigara ili kupata harufu nzuri.

“I said [to the security guards], ‘May I use the bathroom for a second?’ And they said, ‘What are you gonna do, number one or number two?’ I said, ‘Number two.’ “So I said, ‘Look, when I do the Number two, I usually, you know, have a cigarette or light, something to get the aroma right.'”And they said, ‘Well you know what? You can light a piece of napkin.’ I said, ‘I’ll do that.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents