Burudani
Sitti: Siwezi kuwazuia watu kuongea, Ridhiwani amtia moyo
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 hadi Jumamosi iliyopita, Sitti Mtemvu leo ametoa kauli yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kujivua taji hilo.
Sitti ambaye taji la alilovua amepewa Lilian Kamazima kupitia twitter aliandika:
Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza
— Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014
Naye Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amemtia moyo mwanadada huyo.
@SitiiAbbasMtevu pale unapoona kudra zashinda majaliwa, uamuzi wa msingi ufanyika. Pole sana kwa majaribu ya dunia.
— Ridhiwani Kikwete (@ridhiwankikwete) November 9, 2014