Michezo

Singida United yafanya usajili ya wachezaji wawili kutoka Zimbabwe

Klabu ya Singida United ambayo imepanda daraja msimu huu 2017, kucheza ligi kuu Tanzania bara imefanikiwa kuwasajili wachezaji wengine Wazimbabwe Elisha Muroiwa mweye umri wa miaka 27 na Wisdom Mtasa 22 kwenye kikosi chao kinachojiandaa na Ligi Kuu Bara.

Katibu Mkuu wa Singida, Abdulrahman Simba alithibitisha hilo kwa kuwasajili nyota hao Muroiwa anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji namba 6 ambaye yupo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe iliyokuwa inashiriki Afcon, mwaka huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents