Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Sina ‘Appetite’ ya kufanya kazi na Harmonize- Hamorapa

By  | 

Sahau kabisa suala la kuwasikia Harmorapa na Harmonize katika wimbo mmoja.

Japo wawili hao wanatokea upande wa Kusini mwa Tanzania, lakini wameonekana kutopikika katika chungu kimoja. Akiongea katika kipindi cha Joto La Asubuhi leo, Harmorapa ambaye ni hitmaker wa ngoma ya ‘Kiboka ya Mabishoo’ amesema hakuna kolabo yoyote itakuja kutokea kati yake na Harmonize.

“Swala la kufanya kazi na Harmonize hilo halipo. Kila mtu unajua anakuwa na ‘appetite’ na mtu fulani wa kufanya naye kazi,” amesema rapper huyo.

Harmorapa ameongeza kukosea kwake katika lugha ya kingereza, anachukulia kawaida tofauti na watu wanaochukulia jambo la yeye kujiita ‘Strong Woman’ kiukubwa na zaidi kwa kumkejeli.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW