Tragedy

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine.

MH17
Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka

Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na watu wenye lafudhi na sauti za watu wa Ulaya Mashariki.

Kuna taarifa pia kuwa mali za marehemu hao kama vile wallets, vito vya madini na vingine vimechukuliwa. Jana ilitangazwa kuwa siku ya maombolezo nchini Uholanzi na miili imesafirishwa huko ili kutambuliwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents