Promotion

Show ya TID, Naziz, Inspekta yafana Dar-Live chini ya Vodacom

1 (480x640)
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Inspector Haruni akiwapagawisha mashabiki zake kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana

2 (640x480)
Mashabiki wakipiga kelele za kumtaka Inspetor Haruni arudie kuimba wimbo wa Ndege tunduni kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri

3 (640x426)
TID Mnyama akionyesha manjonjo yake ya kucheza jukwaani
4 (640x426)
TID Mnyama akiimba kwa hisia kali

5 (640x426)

6 (640x426)
TID akiimba pamoja na Naziz
7 (640x426)

8 (640x426)

9 (640x480)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents