Promotion

Shindano La Vodacom Dance 100 Lapamba Moto

01 (640x427)
Quality Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka wilaya ya Kinondoni.

03 (640x427)
Kikundi cha Wakali Dance kutoka Buguruni jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao. Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5
04 (640x427)
Kikundi cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam

05 (640x427)
Kundi la Take over kutoka Mabibo

05 (640x427)

06 (640x427)
Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao
katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania

07 (640x427)
Vijana wa kundi la chapambana Fasaha kutoka ukonga
08 (640x427)
Kikundi cha Wakali Sisi kutoka Kinondoni

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents